Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo.
chakushangaza juzi bwana Mo aliweka jiwe la msingi huko Bunju kwa ajili ya uwanja huu. swali
1. bwana mo anajenga uwanja upi huo, je ule wa mwanzo uliishia wapi
2. bwana mo anadai anatoa pesa yake mfukoni nje ya ile bilion 20. kwanini atoe pesa yake mfukoni wakati ile bil.20 ni kwa ajili ya uwekezaji na uwanja ni sehemu ya uwekezaji?
TUWE MAKINI NA FURAHA ZA MUDA MFUPI NASIMAMA NA MZEE KILOMONI
Yani hata ulichokiandika ukijui.wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo.
chakushangaza juzi bwana Mo aliweka jiwe la msingi huko Bunju kwa ajili ya uwanja huu. swali
1. bwana mo anajenga uwanja upi huo, je ule wa mwanzo uliishia wapi
2. bwana mo anadai anatoa pesa yake mfukoni nje ya ile bilion 20. kwanini atoe pesa yake mfukoni wakati ile bil.20 ni kwa ajili ya uwekezaji na uwanja ni sehemu ya uwekezaji?
TUWE MAKINI NA FURAHA ZA MUDA MFUPI NASIMAMA NA MZEE KILOMONI
nilikuwepoYani hata ulichokiandika ukijui.
Ulitakiwa uulize sio kuleta lawama ya kitu usichokujua, Ujuaji ni mbaya sana,.
Ni kushauri Tafuta hotuba ya ya MO na Magori siku ya uzinduzi, kama unataka kujua ukweli
unazindua ujenzi unaoendelea. unajua maana ya uzinduzi lakiniFatilia Simba Kwanza, ndo utajua taarifa zao,pale vinajengwa viwanja viwili wa nyasi bandia na Wanyasi za kawaida vyote ujenzi unaendelea jumatatu ilikua kuzindua rasmi ujenzi unaofanyika
Wanaenda uwanjani hawajui timu yao inacheza na timu ipi. Kweli mbumbumbuNgoja mbumbumbu waje wakushushie michambo
hata vingekuwa 100 lakini mo dewj ananufaika na ufukara/hasa wa fikra zetu tuliowengi.mkuu ila naskia ile ni complex yenye viwanja zaidi ya kimoja, ila sijajua maendeleo ya huo uwanja ulioulizia!
vile ambavyo wewe ni shabiki maandazi unadhani kila mtu? muelewe kwanza kilomoniYani hata ulichokiandika ukijui.
Ulitakiwa uulize sio kuleta lawama ya kitu usichokujua, Ujuaji ni mbaya sana,.
Ni kushauri Tafuta hotuba ya ya MO na Magori siku ya uzinduzi, kama unataka kujua ukweli
mzee kilomoni amefanikiwa sana maishani. shida yenu mnadhani maendeleo ni magari, magorofa hata ya wizi na kufanya anasa tu"Usipotafuta pesa ujanani, uzeeni utakua kilomoni"
Hayo umeyasema wewemzee kilomoni amefanikiwa sana maishani. shida yenu mnadhani maendeleo ni magari, magorofa hata ya wizi na kufanya anasa tu