Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo.
chakushangaza juzi bwana Mo aliweka jiwe la msingi huko Bunju kwa ajili ya uwanja huu. swali
1. bwana mo anajenga uwanja upi huo, je ule wa mwanzo uliishia wapi
2. bwana mo anadai anatoa pesa yake mfukoni nje ya ile bilion 20. kwanini atoe pesa yake mfukoni wakati ile bil.20 ni kwa ajili ya uwekezaji na uwanja ni sehemu ya uwekezaji?
TUWE MAKINI NA FURAHA ZA MUDA MFUPI NASIMAMA NA MZEE KILOMONI