Uwanja wa Simba uliowekwa jiwe la msingi na Mo Dewj ni upi tena?

Uwanja wa Simba uliowekwa jiwe la msingi na Mo Dewj ni upi tena?

wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo.
chakushangaza juzi bwana Mo aliweka jiwe la msingi huko Bunju kwa ajili ya uwanja huu. swali
1. bwana mo anajenga uwanja upi huo, je ule wa mwanzo uliishia wapi
2. bwana mo anadai anatoa pesa yake mfukoni nje ya ile bilion 20. kwanini atoe pesa yake mfukoni wakati ile bil.20 ni kwa ajili ya uwekezaji na uwanja ni sehemu ya uwekezaji?
TUWE MAKINI NA FURAHA ZA MUDA MFUPI NASIMAMA NA MZEE KILOMONI
Acha wafu wazikane
 
SIMBA na uwanja wao, YANGA wao, AZAM wao, vile viwili vya TAIFA vitakuwa vya SHEREHE ZA UHURU na MUUNGANO?
Ndiyo maana wanasiasa hawataki hizi timu ziwe na viwanja maana wengi wanajenga kupitia hizi timu
 
Fatilia Simba Kwanza, ndo utajua taarifa zao,pale vinajengwa viwanja viwili wa nyasi bandia na Wanyasi za kawaida vyote ujenzi unaendelea jumatatu ilikua kuzindua rasmi ujenzi unaofanyika
Pesa anayotoa lazima ataihusisha na 20 bilioni au atadai mambo yakienda kombo HAKUNA CHA BURE! !!
 
hata vingekuwa 100 lakini mo dewj ananufaika na ufukara/hasa wa fikra zetu tuliowengi.
Kwahiyo ulitaka asinufaike anufaike nani babako kilomoni ambaye ata 100 hatoi zaidi ya maneno na ndumba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
HAMNA UWANJA PALE
Ia kuna .....
FB_IMG_1565360142896.jpeg
FB_IMG_1565360228947.jpeg
 
Unadai ulikuwepo kwanini usiulize ni uwanja upi?Au ulikwenda kwenye uwanja gani?Uzuzu ni janga.
Umekuja na hoja ya Kilomoni.Hoja hiyo imekuwa mufilisi. Haina mashiko wewe endelea nayo. Njaa ni kitu kibaya sana.Vipi msumari wa moto umekuwa msumari wa barafu, jua limewaka mara msumari umeyeyuka.
Press Conference lini tena katibu?Tunangojea majungu mapya.
 
Hujielewi
unazindua ujenzi unaoendelea. unajua maana ya uzinduzi lakini
Umeuliza swali kwamba ni kiwanja gani?Halafu unajijibu kwamba ujenzi unaendelea Huo ujenzi unaoendelea ni wa zahanati au wodi ya wazazi?
Uzinduzi??? Limewekwa jiwe la msingi.Katibu Press Conference ya msumari wa baridiii lini?Au ndio basi tena mapambano yamehamia Jamii Forums?
 
Kilaza kweli kweli. Unadhani Kilomoni mpira anausikia kwenye redio kama wewe? Kilo Boy kaupiga sana pale Msimbazi kipindi hicho hata mimba zenu hazijatungwa. Nyie mnajua kumshangilia Mhindi tu, hata historia ya klabu yenu hamuijui
Tukimshabikia muhindi nyie kwasukwasu yanawahusu nini...mnaumia??? na timu lenu lenye njaaa lile.. 😂 😂 😂 😂 ...kwa kuwa yanga mnampenda sana kilomoni basi tumewapa mchukueni aje kuungana na mzee akilimali muwakabidhi timu lenu lile lenye bovu lenye njaa tele wakiungana na kocha lenu lopolopo la congo yanga lazima mchukue ubingwa wa africa mwaka huu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo.
chakushangaza juzi bwana Mo aliweka jiwe la msingi huko Bunju kwa ajili ya uwanja huu. swali
1. bwana mo anajenga uwanja upi huo, je ule wa mwanzo uliishia wapi
2. bwana mo anadai anatoa pesa yake mfukoni nje ya ile bilion 20. kwanini atoe pesa yake mfukoni wakati ile bil.20 ni kwa ajili ya uwekezaji na uwanja ni sehemu ya uwekezaji?
TUWE MAKINI NA FURAHA ZA MUDA MFUPI NASIMAMA NA MZEE KILOMONI
Hoji zile Tr.1.5 zina maslahi mapana kuliko za uwanja wa Simba.
 
... bwana mo anadai anatoa pesa yake mfukoni nje ya ile bilion 20. kwanini atoe pesa yake mfukoni wakati ile bil.20 ni kwa ajili ya uwekezaji na uwanja ni sehemu ya uwekezaji?
Unampangia? Kwani waliochangia bakuli la Kubwa Kuliko, walisema pale ndio mwisho wa kuchanga, kwamba hawawezi kuchanga kiwango kingine nje ya hicho?
 
Wanaenda uwanjani hawajui timu yao inacheza na timu ipi. Kweli mbumbumbu
View attachment 1175599
Nawapa hongera sana hawa mashabiki, maana wanaenda kuiangalia timu yao bila kujali inaenda kucheza na nani! Kuna watu hapa waliposikia Kariobangi (mechi ya kirafiki), wakajua watashinda, wakajitutumua kwenda uwanjani. Waliposikia Township Rollers (mechi ya mashindano), wakaingia hofu, hawakwenda kuishangilia timu yao. Hiyo ni akili au baridiiii? Nendeni tu mechi yoyote mkaishangilie timu yenu, tena muwe kama hao washabiki wa mnyama walioenda bila kujali wanacheza na nani!
 
wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo.
chakushangaza juzi bwana Mo aliweka jiwe la msingi huko Bunju kwa ajili ya uwanja huu. swali
1. bwana mo anajenga uwanja upi huo, je ule wa mwanzo uliishia wapi
2. bwana mo anadai anatoa pesa yake mfukoni nje ya ile bilion 20. kwanini atoe pesa yake mfukoni wakati ile bil.20 ni kwa ajili ya uwekezaji na uwanja ni sehemu ya uwekezaji?
TUWE MAKINI NA FURAHA ZA MUDA MFUPI NASIMAMA NA MZEE KILOMONI

Si wakina kilomoni walikua hela alafu si amesema viwanja viko viwili kimoja nyasi bandia kingine OG mkeka
 
Back
Top Bottom