Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Leo wanaweza kukalishwa, sare tu inatosha kunipa usingizi mwanana kabisa.
Nikuulize hizo pasi tano zina nafasi gani kwenye msimamo wa ligi? Teh tehMkuu kwani we huoni timi hata kupiga pasi 5 zifike hawawezi ni butua butua tu
Ni aibu mkuu Yanga kuongoza ligi timi mbovu sanaKikubwa matokeo hizi nyingine hazina tofauti na porojo.
Ndio mjitathmini nyie mnaojiita mna kikosi bora.Ni aibu mkuu Yanga kuongoza ligi timi mbovu sana
🙏🙏🙏🙏Hongereni yanga
Ungeficha ujinga wako kwa kukakaa kimya,mechi ya14 leo wameshinda12,huo upepo mzuri kila siku ni kwao tu?Yanga wanna upepo mzuri kwa Sasa ila timi ni mbovu Sana yaani at kupiga pasi 5 zifike hakuna
Huyo mwongo. Anaumwa sleeping sickness halafu anaisingizia yanga kila ikishinda akalale mapema huku akijua ushindi kwa yanga ni muhimu na ni lazima.Ndio uache kuwa unaiombea mabaya Yanga Afrika.....kila mechi tutakulaza mapema
Ungeficha ujinga wako kwa kukakaa kimya,mechi ya14 leo wameshinda12,huo upepo mzuri kila siku ni kwao tu?
Waone aibu wanaoongozwa na timu mbovu ya watembeza bakuliNi aibu mkuu Yanga kuongoza ligi timi mbovu sana
Mkuu hutalala mtaani au nyumbani?? Maana najua my wife wako yanga, Kama Namuona anavyokuzingua zaidi ya wanaJF.Leo hatutalala huku mtaani.
Taratibu mkuu. Utamuua kwa hasiraNaona leo utaupata usingizi mwanana kama ulivyoombea mkuu
Bahati yenu leo
Hahahaha. Kuipenda ni burudani kwa kweliAsante Mkuu, bakuli limetikiswa uji ukapoa then ukanywewa.
Maswali kama haya ndo yanayopoteza watu kwenye uziNikuulize hizo pasi tano zina nafasi gani kwenye msimamo wa ligi? Teh teh
Hilo halikwepeki mkuu kufungiwa ni lazima nidhamu hamna paleSijawahi kumuona beki asiyetumia akili kama yule beki No. 5 wa Prisons...Yaani ametoka huko Nduki kuja kumpiga kichwa Ngasa wakati akijua Ngasa angepata red kwa kumpiga kichwa mchezaji wa Prison...Sasa yule no. 5 baadala ya kutulia naye anakimbiklia kupata red...ovyo kabisa...na yule Dante sijui vipi ni lazima atafungiwa tu yule...
Kwani ligi imeisha? Ndo Kwanza 14 Kati ya 38 kwa yanga hi pumzi itakata muda si mrefuNikuulize hizo pasi tano zina nafasi gani kwenye msimamo wa ligi? Teh teh
Hilo halikwepeki mkuu kufungiwa ni lazima nidhamu hamna pale
Mkuu nipe mrejesho wa hili tukio