Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasubiri sanaKwani ligi imeisha? Ndo Kwanza 14 Kati ya 38 kwa yanga hi pumzi itakata muda si mrefu
Endeleeni kubahatisha hayo ndiyo maisha yenu vyura ila muda mfupi ujao mtarudi kwenye nafasi yenuYanga inaafadhali kama ni mbovu na haijapoteza mech hadi sasa na ndo kinara wa ligi. Hizo zingine zitakuwaje?
Turudi mara ngapi mkuu?Endeleeni kubahatisha hayo ndiyo maisha yenu vyura ila muda mfupi ujao mtarudi kwenye nafasi yenu
Kama ni bahati au ubora wa kiwango ndo vimeifanya yanga iwe hapo ilipo basi kombe tunalibebaEndeleeni kubahatisha hayo ndiyo maisha yenu vyura ila muda mfupi ujao mtarudi kwenye nafasi yenu
Ukiufuatili huu uzi huwezi mkosa humu
Labda kombe la kuogelea bwawani [emoji196] [emoji196] [emoji4] [emoji4]Kama ni bahati au ubora wa kiwango ndo vimeifanya yanga iwe hapo ilipo basi kombe tunalibeba
Bado mechi 5 mzunguko wa kwanza kukamilika. Pia kumbuka usemi usemao "biashara asubuhi, jioni mahesabu"Kwani ligi imeisha? Ndo Kwanza 14 Kati ya 38 kwa yanga hi pumzi itakata muda si mrefu
Kwa hiyo nyie mko vizuri ila bahati ndo hakuna?Labda kombe la kuogelea bwawani [emoji196] [emoji196] [emoji4] [emoji4]
Sasa vip anapumuliwa wapi?
Tuko vizuri ndio na hatuamini katika bahati kwenye timu yetuKwa hiyo nyie mko vizuri ila bahati ndo hakuna?
Labda kikombe Cha chai ila ubingwa was TPL una mwenyeweKama ni bahati au ubora wa kiwango ndo vimeifanya yanga iwe hapo ilipo basi kombe tunalibeba
Mmekaa siti ya dereva mnategemea tutafikaje tunakuenda?Turudi mara ngapi mkuu?
Kwani kuna nafasi zaidi ya hii yuliyoishika?
Yanga ndio timu iliyochukua ubingwa wa Tanzania mara nyingiLabda kikombe Cha chai ila ubingwa was TPL una mwenyewe
Kama mko vizuri mbona hamwongozi ligi hadi sasa?Tuko vizuri ndio na hatuamini katika bahati kwenye timu yetu
HahahahaKabisa mkuu, kila yanga inapocheza nakuwa sina bahati kabisa.