Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Mkuu kyata kwa upumbavu aliofanya Ngasa wa kumpiga mchezaji wa prison kichwa akifungiwa atakuwa kaonewa? Let us be objective on this matter even once, Ngasa anatakiwa kufungiwa ili iwe fundisho kwake nakwa wachezaji wengine wasiokuwa na uungwana wawapo uwanjani, timu yenu haina nidhamu ata kidogo, chikupe nae ni mtu wa vurumai, kiukweli fundisheni timu yenu nidhamu kwani wakitanguliwa kufungiwa wote wanapaniki.
 
[emoji2][emoji2]
 
Haya ya ngasa tupe muda Kwanza tusherekee ushindi kuelekea ubingwa wiki ijayo tutalizungumzia hili mkuu
 
Papaa mwinyi zahera ni bonge la kocha
 
Usisahau kuwa ndo kinachoongoza kwa tofauti ya point nyingi tu kutoka kwa mikis
Huu ndio ukweli ambao mashabiki wengi wa yanga hawataki kabisa kuukubali, kikosi kibovu kama hiki cha yanga kikichukua ubingwa itakuwa ni fedheha kubwa kabisa katika ligi kuu Tanzania Bara.
 
Sisemi Ngassa kafanya jambo Jema, LA Asha, hata hivyo keshapewa adhabu anastahili, na automatically hatocheza mechi kadhaa, hivyo hakuna mantiki
Tff kumuazibu kwa Mara ya pili kwa kosa moja, ila kibongobongo na unazi kwa timu zetu hizi, sitoshangaa kuona anaongezewa mzigo was adhabu
 
Yanga hawezi pata alama tatu mbele ya simba na azam, hapo lazima afungwe breki, hasa akikutana na Simba ata waweke magolikipa kumi mbele acheze mtu mmoja game ya raundi ya pili kichapo kiko pale pale.
FYI Simba walishacheza na Yanga na wakashindwa kuifunga ,
Mzunguko wa pili tukikutana tutakuwa tumeshachukua ubingwa
 
Eti Refa anapigwa kichwa na Dante na anachekelea tu.
Hamna kadi wala kada.
Kweli hii timu ni ya Wananchi, na inambelekewa ili ichukuwe kombez.
 
Kama TFF ikimuongezea adhabu itakuwa ni jambo la busara zaidi, alichofanya sio kitendo cha kiungwana kabisa, tangu nimeanza kufuatilia huyu bwana mdogo kwenye 2006 sijawahi kushuhudia hiki alichokifanya leo, alikotupeleka leo tulishatoka huko, sasa hivi kuna kamera kibao uwanjani, Ngasa anasahau kuwa hakuna anachoweza kukifanya kikakwepa kamera zote zilizopo uwanjani, poor him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…