DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Wamekuja na pambio la bahati.Mikia vipi tumetoka dar bado wanakula kichapo hahahahaha
Wao wana nuksi kila uchao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekuja na pambio la bahati.Mikia vipi tumetoka dar bado wanakula kichapo hahahahaha
Mkuu kyata kwa upumbavu aliofanya Ngasa wa kumpiga mchezaji wa prison kichwa akifungiwa atakuwa kaonewa? Let us be objective on this matter even once, Ngasa anatakiwa kufungiwa ili iwe fundisho kwake nakwa wachezaji wengine wasiokuwa na uungwana wawapo uwanjani, timu yenu haina nidhamu ata kidogo, chikupe nae ni mtu wa vurumai, kiukweli fundisheni timu yenu nidhamu kwani wakitanguliwa kufungiwa wote wanapaniki.Mission ya Tifua Tifua imefeli, mipango yao imegoma, sasa tusubiri wafungie wachezaji wetu, hiyo yoote inafanyika ili kumpa wepesi mbumbumbu fc. Ila kwa sprit tuliyonayo kwa sasa, sidhani kama watafanikiwa. Tutagonga kila atakayejipendekeza kwetu. Tunalo benchi ka ufundi ambalo liko makini sana kusoma mapungufu ya mpinzani, ona Leo sub alizofanya mwalimu, hakika aliona Tz prison kasi yao ya kushambulia imepungua, maana waliamini mchezo wameumaliza, akaamua kumtoa beki na kumuingiza mshambuliaji hakika it was a brilliant substitute na matunda yake ni magoli mawili ya ushindi. Hongera Yanga Africa, Ila pongezi zaidi kwa bench zima LA ufundi, mko vizuri sana
[emoji2][emoji2]Mkuu kyata kwa upumbavu aliofanya Ngasa wa kumpiga mchezaji wa prison kichwa akifungiwa atakuwa kaonewa? Let us be objective on this matter even once, Ngasa anatakiwa kufungiwa ili iwe fundisho kwake nakwa wachezaji wengine wasiokuwa na uungwana wawapo uwanjani, timu yenu haina nidhamu ata kidogo, chikupe nae ni mtu wa vurumai, kiukweli fundisheni timu yenu nidhamu kwani wakitanguliwa kufungiwa wote wanapaniki.
Wivu umemaliza wengi sana mkuuWakubali wakatae wana kikosi dhaifu sana msimu huu, kinachowabeba ni bahati waliyonayo kipindi hiki nothing else.
Haya ya ngasa tupe muda Kwanza tusherekee ushindi kuelekea ubingwa wiki ijayo tutalizungumzia hili mkuuMkuu kyata kwa upumbavu aliofanya Ngasa wa kumpiga mchezaji wa prison kichwa akifungiwa atakuwa kaonewa? Let us be objective on this matter even once, Ngasa anatakiwa kufungiwa ili iwe fundisho kwake nakwa wachezaji wengine wasiokuwa na uungwana wawapo uwanjani, timu yenu haina nidhamu ata kidogo, chikupe nae ni mtu wa vurumai, kiukweli fundisheni timu yenu nidhamu kwani wakitanguliwa kufungiwa wote wanapaniki.
Papaa mwinyi zahera ni bonge la kochaMission ya Tifua Tifua imefeli, mipango yao imegoma, sasa tusubiri wafungie wachezaji wetu, hiyo yoote inafanyika ili kumpa wepesi mbumbumbu fc. Ila kwa sprit tuliyonayo kwa sasa, sidhani kama watafanikiwa. Tutagonga kila atakayejipendekeza kwetu. Tunalo benchi ka ufundi ambalo liko makini sana kusoma mapungufu ya mpinzani, ona Leo sub alizofanya mwalimu, hakika aliona Tz prison kasi yao ya kushambulia imepungua, maana waliamini mchezo wameumaliza, akaamua kumtoa beki na kumuingiza mshambuliaji hakika it was a brilliant substitute na matunda yake ni magoli mawili ya ushindi. Hongera Yanga Africa, Ila pongezi zaidi kwa bench zima LA ufundi, mko vizuri sana
Huu ndio ukweli ambao mashabiki wengi wa yanga hawataki kabisa kuukubali, kikosi kibovu kama hiki cha yanga kikichukua ubingwa itakuwa ni fedheha kubwa kabisa katika ligi kuu Tanzania Bara.
Sisemi Ngassa kafanya jambo Jema, LA Asha, hata hivyo keshapewa adhabu anastahili, na automatically hatocheza mechi kadhaa, hivyo hakuna mantikiMkuu kyata kwa upumbavu aliofanya Ngasa wa kumpiga mchezaji wa prison kichwa akifungiwa atakuwa kaonewa? Let us be objective on this matter even once, Ngasa anatakiwa kufungiwa ili iwe fundisho kwake nakwa wachezaji wengine wasiokuwa na uungwana wawapo uwanjani, timu yenu haina nidhamu ata kidogo, chikupe nae ni mtu wa vurumai, kiukweli fundisheni timu yenu nidhamu kwani wakitanguliwa kufungiwa wote wanapaniki.
Tff kumuazibu kwa Mara ya pili kwa kosa moja, ila kibongobongo na unazi kwa timu zetu hizi, sitoshangaa kuona anaongezewa mzigo was adhabuMkuu kyata kwa upumbavu aliofanya Ngasa wa kumpiga mchezaji wa prison kichwa akifungiwa atakuwa kaonewa? Let us be objective on this matter even once, Ngasa anatakiwa kufungiwa ili iwe fundisho kwake nakwa wachezaji wengine wasiokuwa na uungwana wawapo uwanjani, timu yenu haina nidhamu ata kidogo, chikupe nae ni mtu wa vurumai, kiukweli fundisheni timu yenu nidhamu kwani wakitanguliwa kufungiwa wote wanapaniki.
Ukubwa dawa mzee mwenzangu uliona mbali sana tumefarijikaYanga watulie mechi bado mbichi kabisa hii
Sasa ubora wa hao wanaofungwa na Mbao uko kwenye nini ?Simba kufungwa na Mbao hakubadilishi maana na uhalisia kwamba Yanga wanna timu mbovu Quality ya wachezaji wa Yanga inaonekana japo matokea yapo upande wao kwa sasa
FYI Simba walishacheza na Yanga na wakashindwa kuifunga ,Yanga hawezi pata alama tatu mbele ya simba na azam, hapo lazima afungwe breki, hasa akikutana na Simba ata waweke magolikipa kumi mbele acheze mtu mmoja game ya raundi ya pili kichapo kiko pale pale.
Utamlaza mwe nzio mapema mkuu kwa maswali hayaSasa ubora wa hao wanaofungwa na Mbao uko kwenye nini ?
Kama TFF ikimuongezea adhabu itakuwa ni jambo la busara zaidi, alichofanya sio kitendo cha kiungwana kabisa, tangu nimeanza kufuatilia huyu bwana mdogo kwenye 2006 sijawahi kushuhudia hiki alichokifanya leo, alikotupeleka leo tulishatoka huko, sasa hivi kuna kamera kibao uwanjani, Ngasa anasahau kuwa hakuna anachoweza kukifanya kikakwepa kamera zote zilizopo uwanjani, poor him.Sisemi Ngassa kafanya jambo Jema, LA Asha, hata hivyo keshapewa adhabu anastahili, na automatically hatocheza mechi kadhaa, hivyo hakuna mantiki
Tff kumuazibu kwa Mara ya pili kwa kosa moja, ila kibongobongo na unazi kwa timu zetu hizi, sitoshangaa kuona anaongezewa mzigo was adhabu
Eti kikosi kipana,
Eti timu ina vikosi viwili,
Eti kila mechi goli tano!
Lipuli hii Lipuli hii
Dua la BUNDIWazee wa kubahatisha...wakishapoteza hata mechi moja.....walahi watapigwa nyingi mfululizo😀😀😀