Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Yanga burudan. Tena tukiwa 9 tu.
Refa kawadharau sana tz prisons hadi kaamua kuwapunguza wachezaji wa yanga.
Ingekuwa disaster
Hatari sana.

Wale wapiga kelele waje nina malipo yao kwa lile zogo. 😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…