Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Ila mkuu tusiwe na wasiwasi mechi yetu hii tutafanya COMEBACK ya kibabe
Yanga burudan. Tena tukiwa 9 tu.Kwa hali hii washakufwaaaa.
Daima mbele
Aisee [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaha kuna mtu kaongezwa huko.
Mikia wamekimbianaMikia bhana, subirini dk 90 ndo mshangilie vizuri. Mna haraka kama mnaogea nje?
Mikia mkuje hukuWapeeee. 👂👂👂👂👂 mi nasikiliza
Hatari sana.Yanga burudan. Tena tukiwa 9 tu.
Refa kawadharau sana tz prisons hadi kaamua kuwapunguza wachezaji wa yanga.
Ingekuwa disaster
Ngapi ngapi mkuu? Daima mbeleMikia mkuje huku
ImeshafanyikaIla mkuu tusiwe na wasiwasi mechi yetu hii tutafanya COMEBACK ya kibabe
Wanapita kimya kimya.Mikia mkuje huku
Watapata tabu sana kuiombea mabaya yangaMikia wamekimbiana
Vyuraaaa bwanaMikia mkuje huku
Mkuu nipe matokeoWatapata tabu sana kuiombea mabaya yanga
3 mkuuMkuu nipe matokeo