Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Aisee mmekuja kwa kasi kama mmetumwa? Hongereni sana ndala fc, kutoka moyoni nimependa sana come back yenu, maafande kwa mara nyingine wamenichosha ingawa game yao ya mwisho dhidi ya yanga msimu uliopita ndio ilikuwa sababu, ya yanga kupoteza muelekeo kabisa kwenye mbio za ubingwa.
 
Kula like kula like Mkuu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…