Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameifyata mata.koni hadi tumboni wakajiwekea na super glueMikia yao bado hawajaibana na pini?
1 - 3. Nyuma mwikoNgapi ngapi mkuu? Daima mbele
Sijui watakuwa na mda wa kukumbuka ulichowaambiaMikia bhana, subirini dk 90 ndo mshangilie vizuri. Mna haraka kama mnaogea nje?
Kwa hiyo yanga ina bahati nzuri kila mechi?Bahati yenu leo
Itupiwe aisee. Sababu si kwa raha hizi💃💃💃💃Wana yanga wakati tunachekelea ushindi mnono dhini ya tawi la mikia tukumbuke pia kuichangia timu, mwenye ile namba ya kuchangia aitupie humu tumwage minotiiiiiiiiiii
Weeee bwege wa matopeni unajisikiaje?Naona mmeanza kutafuta sababu sasa, mambo ni fire huko uwanja wa Sokoine Mbeya.
Sijui watakuwa na hali gani sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hao goli likikombolewa wananuna mwishowe wanakufwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akikujibu nite. 😂Kwa hiyo yanga ina bahati nzuri kila mechi?
Wanapelekwa mochwari saa hii.Sijui watakuwa na hali gani sasa
Washavurugwa mkuu. Usisahau a.k.a yao ya mbumbumbu fcSijui watakuwa na mda wa kukumbuka ulichowaambia
Ambulance zitakuwa bize kusomba sasaWatakuwa ICU. Yanga wakiongeza kuna watu watakutwa mortuary
Kula like kula like Mkuu. 😂😂😂😂Aisee mmekuja kwa kasi kama mmetumwa? Hongereni sana ndala fc, kutoka moyoni nimependa sana come back yenu, maafande kwa mara nyingine wamenichosha ingawa game yao ya mwisho dhidi ya yanga msimu uliopita ndio ilikuwa sababu, ya yanga kupoteza muelekeo kabisa kwenye mbio za ubingwa.