Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

kibol

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
4,521
Reaction score
2,747
Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja ikiwa inaongoza ligi kuu, itavaana na maafande wa magereza Tanzania ambao wako katika nafasi ya 19,swali ni je Yanga itaendeleza ubabe katika TPL kwa kujinyakulia alama zote tatu au Prison watafanya maajabu leo ili kutoka mkiani walikosalia?
Tukutane hapa kupeana yale yatakayokuwa yanajiri huko uwanja wa Sokoine Mbeya.

Updates
Dakika 45 za kipindi cha kwanza ndio zimeanza hapa ccm Sokoine Mbeya.

Updates
19' yanga wanapata mpira wa adhabu senti mita chache kabisa kutoka 18, anaenda kupiga Ajib.....anakosa.

Updates
35' Maka Edward anapewa kadi ya njano, na prison wanapata nafasi ya kupiga mpira wa adhabu kuelekea lango la yanga, prison wanapoteza nafasi hii ya mpira wa adhabu.

Updates
43' prison wanapata penalty
Ajibu, Juma Abdul, Chikupe wanapewa kadi ya njano hapa.

45' prison wa naandika goli la kwanza kupitia kwa Jumanne Nikaze Elfadhili.
Updates
Vurugu zinatokea hapa uwanjani, mchezaji wa prison yupo chini,mrisho Ngasa kampiga kichwa Hassan Kapalata, hiki ndicho chanzo cha vurugu.

Updates
Umeme unatolewa kwa Ngasa na Laurian Mpalile, kadi nyekundi.

Mpira ni half time.

Updates
45' za kipindi zinaweza kuanza muda wowote kuanzia sasa, wakati huo huo Mateo Anthony anaingia kuchukua nafasi ya Maka Edward, mpira umeanza hapa.

Updates
51'Jumanne Elfadhili anapewa kadi ya njano kwa kumchezea mchezo usiokuwa wa kiungwana Feisal Salum.

Updates
Maji mazito kwa Feisal, anakwenda bench na nafasi yake inachukuliwa na Thaban kamusoko

Updates
74' yanga wanapata penalty.
76' Ajibu gooooooooo prison 1 yanga 1.

Updates
80' Prison 1 Yanga 1.

Updates
84' Amiss Tambwe anaiandikia yanga goli la pili hapa.

Updates
+3 za nyongeza hapa uwanja wa mbeya

90+ gooooooooooo Amiss Tambwe anaiandikia yanga goli la tatu hapa.

Updates
FT Prison 1 yanga 3, mpira umekwisha hapa.
 
Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja ikiwa inaongoza ligi kuu, itavaana na maafande wa magereza Tanzania ambao wako katika nafasi ya 19,swali ni je Yanga itaendeleza ubabe katika TPL kwa kujinyakulia alama zote tatu au Prison watafanya maajabu leo ili kutoka mkiani walikosalia?
Tukutane hapa kupeana yale yatakayokuwa yanajiri huko uwanja wa Sokoine Mbeya.
Kuna hali ya mvua Na soko4 matope ndo kwao cjui
 
Mungu ibariki timu ya Wananchi,tuna imani mtaendelea kutupa raha
Prison wamekuwa na matokeo mabovu kabisa msimu huu ila pengine watapata makali yao tena leo kupitia yanga.
 
Mechi imeanza ila kuna wingu kubwa limetandaa tuombe wazee wamji walishikilie hivo hivo mechi ichezwe
Tuletee matokeo......natamani Ndala zikatike kweli kweli, wanyukwe magori😡😡😡
 
Kwahyo hamna mechi??😀😀😀
Mkuu game imeshaanza hapa na inaonyesha maafande ww magereza wana uzoefu kidogo na uwanja huu wakati ukiwa katika hali uliyonayo kwa sasa.
 
Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja ikiwa inaongoza ligi kuu, itavaana na maafande wa magereza Tanzania ambao wako katika nafasi ya 19,swali ni je Yanga itaendeleza ubabe katika TPL kwa kujinyakulia alama zote tatu au Prison watafanya maajabu leo ili kutoka mkiani walikosalia?
Tukutane hapa kupeana yale yatakayokuwa yanajiri huko uwanja wa Sokoine Mbeya.

Updates
Dakika 45 za kipindi cha kwanza ndio zimeanza hapa ccm Sokoine Mbeya.

Updates
19' yanga wanapata mpira wa adhabu senti mita chache kabisa kutoka 18, anaenda kupiga Ajib.....anakosa.
Bora amekosa ....ngada hawa jamanii
 
Back
Top Bottom