Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Aisee mmekuja kwa kasi kama mmetumwa? Hongereni sana ndala fc, kutoka moyoni nimependa sana come back yenu, maafande kwa mara nyingine wamenichosha ingawa game yao ya mwisho dhidi ya yanga msimu uliopita ndio ilikuwa sababu, ya yanga kupoteza muelekeo kabisa kwenye mbio za ubingwa.
Niliwahi kukwambia kitu siku moja hivi, leo nikarudia lkn bado hunielewi.
Mtapata tabu sana kuiombea yanga kushindwa
Kiko wapi?
 
Niliwahi kukwambia kitu siku moja hivi, leo nikarudia lkn bado hunielewi.
Mtapata tabu sana kuiombea yanga kushindwa
Kiko wapi?
Mtapoteana tu, usishangilie sana mkuu, yanga hii ni mbovu mno, kinachoibeba yanga ni bahati tu waliyonayo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom