Kweli hata mimi huruma nimeipata ila nimekumbuka Jeuri yao wakiwa kwenye kakombe kao kule visiwani nasema nawapigwe tu!Huruma nimesikia mimi
πππ
Simbaaaa
Simbaaaaa
Simbaaaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] nani kanunaaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna chura mmoja anaitwa hazard cfc anatamani asingeanzisha hii thread
insta babe hivi naanzaje kushabikia gongo wazi wale [emoji23][emoji23][emoji23]Woyooooo
Kumbe insta babe tupo wote kwa mnyama
Akija alfajiri uniiteπππ
Amejitahidi kupambana lakini wapi Simba imempoteza sana.Kuna chura mmoja anaitwa hazard cfc anatamani asingeanzisha hii thread
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga wewe nimecheka kwa sauti na manchester united tupo wote eenh insta babeinsta babe hivi naanzaje kushabikia gongo wazi wale [emoji23][emoji23][emoji23]
tupo wote kuanzia kwenye maombi hadi msimbazi insta babe
Sent using Jamii Forums mobile app
vyura wa jangwani na leo hivi mvua imenyesha hawana pakulala [emoji23][emoji23][emoji23]Simbaaaa
Simbaaaaa
Simbaaaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] nani kanunaaaaaaaaaaaaa
Jamani huku kwetu tumemkosea nn Mungu mbona haijanyeshavyura wa jangwani na leo hivi mvua imenyesha hawana pakulala [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua umeme umekatika huko kwake baada ya Kagere kuanza kutikisa nyavuπππAkija alfajiri uniite
hahaha insta babe hapo kwa man u ndio tulipopishana kama wewe unavyomsapoti mtekaji yani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga wewe nimecheka kwa sauti na manchester united tupo wote eenh insta babe
Sio goliHuu mpira uishe tu
mmepunguza maombi tatizoJamani huku kwetu tumemkosea nn Mungu mbona haijanyesha