Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hizi ndio zake tumeshazizoeaItakua umeme umekatika huko kwake baada ya Kagere kuanza kutikisa nyavu😀😀😀
Hahahahahaha sasa tunapishana vipi hapo halafu we utakua arsenal au chelsea tuhahaha insta babe hapo kwa man u ndio tulipopishana kama wewe unavyomsapoti mtekaji yani [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nope..soma alama za nyakati,hapo ni shabgazi kamfunga mjomba,wote ndugu hao
Sio goli wapi mbona inasoma goliSio goli
Hahhahahahha maombi tunafanya sana yaan sana sijui kumelaanika
Nadhani pressure inakua imepand wakati huoHahaha hizi ndio zake tumeshazizoea
insta babe hivi naanzaje kushabikia gongo wazi wale [emoji23][emoji23][emoji23]
tupo wote kuanzia kwenye maombi hadi msimbazi insta babe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu muita basiNadhani pressure inakua imepand wakati huo
Lile la pili la azam liliokuwa limeingia nyavuni limefutwa!!!Sio goli wapi mbona inasoma goli
hahaha.... itakuwa kwenye kundi lenu la maombi kuna mamluki mkitoka kwenye maombi wao wanafanya madhambi....Hahhahahahha maombi tunafanya sana yaan sana sijui kumelaanika
Ooh sawaLile la pili la azam liliokuwa limeingia nyavuni limefutwa!!!
Ulikua unapita kimya kimya mkuu
Ngoja kwanza nimtaftie dawa za pressure kabda ya kumuita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu muita basi
Huyo mpiga injili sasa yaani sijamuonahahaha.... itakuwa kwenye kundi lenu la maombi kuna mamluki mkitoka kwenye maombi wao wanafanya madhambi....
ngoja nije huko nipige injili hadi mvua inyeshe
Sent using Jamii Forums mobile app
dada angu hivi upo humu.... nimekumiss aisee.... za masiku
Nje ya Tanzania wanajipigia tano tano,SIMBA HII KWA HAPA TANZANIA HAKUNA WA KUISUMBUA KABISAAAA
insta babe tuseme mimi hujaniona auHuyo mpiga injili sasa yaani sijamuona