Uzuri ni kwamba hata Yanga waliuza mechi, ili mashabiki wa simba wajae uwanjani, mana ninavyowafahamu Yanga wasingefungwa lile goli jepesi kiasi kile.Azam ni bora wasingetokea uwanjani ili ijulikane moja kwa moja walichokipanga. Mpira wanaocheza Azam leo,kabisa walikuwa na matokeo. Mpira wa kibongo uduanzi mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikubali wafungwe ili mapato yawe mengi, mana walishajua kua bila kufungwa wao mashabiki wa simba wasingeingia.
Sent using Jamii Forums mobile app