Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Azam ni bora wasingetokea uwanjani ili ijulikane moja kwa moja walichokipanga. Mpira wanaocheza Azam leo,kabisa walikuwa na matokeo. Mpira wa kibongo uduanzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ni kwamba hata Yanga waliuza mechi, ili mashabiki wa simba wajae uwanjani, mana ninavyowafahamu Yanga wasingefungwa lile goli jepesi kiasi kile.
Walikubali wafungwe ili mapato yawe mengi, mana walishajua kua bila kufungwa wao mashabiki wa simba wasingeingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado nautafuta mpira uliofungwa na kagere kwenye goli la tatu

Tupeani taarifa basi kama huko kwenu umeonekana

Sent using unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…