Ahahahaha kumbe wewe mwenyewe akili ndogo.Kapime akili wewe sio bure
Lala mkuu Simba kwa Sasa gali imewaka na njiani hakuna traffic officerKuna tofauti kubwa sana kati ya timu ya wananchi na Timu ya nchi...[emoji23]
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Sasa Mkuu sisi tunatangalia Timu yetu maana hao ni simba B,jiulize leo Baharesa kachukia baada ya kipigoYanga wanapata tabu na ubora wa Simba
Yanga wanasubiri Simba kudondosha points Kama wanasubiri meli airport
"Kila mtu ashinde mechi zake"
Shadeeya
Ndumbula Ndema
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndogo vigumu sana kuelewa? Yanga waliuza mechi mapema ndo mana Manara alikua anahamasisha mashabiki wa simba kuja uwanjani kwa vile alikua na uhakika na matokeo.
Kilichotokea Yanga kufungwa dk za mwisho ni ile tu njanja kuwapumbaza mashabiki wa Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππππππππππππ
Swahiba we ni Mbaya. Duuuh.Simba wanakamilisha ratiba tu hapa hi mechi wameshashinda
3 kwa 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa.
Hahaaa. Swahiba umeshasahau ya Al Alhly na Vita eee.Simba labda ikacheze la Liga au bundesliga ndo itapata upinzani wa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Nimecheka kwa sauti Mtani.Dah, hivi hakuna uwezekano tukaomba kucheza ligi ya Congo?
Angalau AS Vita na TP Mazembe watupe changamoto.
Ila mna maneno nyie. lolEpl wanatuhitaji kule kwa ajili ya kuchangamsha ligi tupo kwenye mchakato
Nimekuja dada. Umemisika mbaya. Mzima?Dada akee upooo
πππNgoja wasawazishe ndo utajua yuko hapa
πππ DuuhUsimchoshe Mungu wewe
Huu ni ule uchokozi aliousema King Ngwaba. πππSimba 2 vs Shadeeya 0