Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kweli maana gongowazi wakikukuta hapa balaa lake sio dogo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ngoja nkimbie miye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema simba hawajanunua game wameachiwa kupata ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji6][emoji125][emoji125][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Km mashabiki wenyewe wa simba ni mabwabwa km wewe duuuu Kuna hatari kubwa uko mbeleHahaaaahaaa....wamechelewa sana aseehh!team bakuli hapana kwa kweli kwanza hawavutiii!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]naonaga kama wamevurugwaa vilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo anasifa moja tu ambayo hakuna club yoyote Tanzania ina hizo sifa, TIMU BAKULI yaani hawa jamaa ni ombaomba hatariTunakumbushana tu kuwa yanga haongozi ligi bali anaongoza kwa kucheza mechi nyingi kuliko Bingwa mtetezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia hoja Kiongozi.Sasa munatakaje? Si nayeye Kocha wenu ZUHURA awalilie TIEFUEFU wasimamishe michezo ya Vyura FC mpaka Mnyama Simba SC amalize viporo vyake!
Au unataka Haji Manara asimamishe yeye michezo yenu?
Nasikia Yanga anaongoza RingiTunakumbushana tu kuwa yanga haongozi ligi bali anaongoza kwa kucheza mechi nyingi kuliko Bingwa mtetezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndogo vigumu sana kuelewa? Yanga waliuza mechi mapema ndo mana Manara alikua anahamasisha mashabiki wa simba kuja uwanjani kwa vile alikua na uhakika na matokeo.Mbona umeongea utumbo? “walikubali kufungwa ili mapato yawe mengi?” wakati tayari mapato yalishaingia. Na kufungwa kwa Yanga dakika ile kuliwaamsha vipi mashabiki wa simba kutoka huko kuja uwanjani kuongeza mapato?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mchukue kombe kwa timu ipi?acheni ndoto za mchanaFuatilia hoja Kiongozi.
Kapime akili wewe sio bureAkili ndogo vigumu sana kuelewa? Yanga waliuza mechi mapema ndo mana Manara alikua anahamasisha mashabiki wa simba kuja uwanjani kwa vile alikua na uhakika na matokeo.
Kilichotokea Yanga kufungwa dk za mwisho ni ile tu njanja kuwapumbaza mashabiki wa Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapime akili wewe sio bureAkili ndogo vigumu sana kuelewa? Yanga waliuza mechi mapema ndo mana Manara alikua anahamasisha mashabiki wa simba kuja uwanjani kwa vile alikua na uhakika na matokeo.
Kilichotokea Yanga kufungwa dk za mwisho ni ile tu njanja kuwapumbaza mashabiki wa Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah