Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

na kweli maana gongowazi wakikukuta hapa balaa lake sio dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji6][emoji125][emoji125][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
255758025420_status_213c369407f64687ad927b4bd8a00b39.jpeg


Sent using unknown device
 
Sasa munatakaje? Si nayeye Kocha wenu ZUHURA awalilie TIEFUEFU wasimamishe michezo ya Vyura FC mpaka Mnyama Simba SC amalize viporo vyake!

Au unataka Haji Manara asimamishe yeye michezo yenu?
Fuatilia hoja Kiongozi.
 
Mbona umeongea utumbo? “walikubali kufungwa ili mapato yawe mengi?” wakati tayari mapato yalishaingia. Na kufungwa kwa Yanga dakika ile kuliwaamsha vipi mashabiki wa simba kutoka huko kuja uwanjani kuongeza mapato?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndogo vigumu sana kuelewa? Yanga waliuza mechi mapema ndo mana Manara alikua anahamasisha mashabiki wa simba kuja uwanjani kwa vile alikua na uhakika na matokeo.
Kilichotokea Yanga kufungwa dk za mwisho ni ile tu njanja kuwapumbaza mashabiki wa Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Eti nao Azam walipita mlango waliopita Chura na kugoma kupita mlango wao.
Hata ukiingia na helikopta machinjioni utachinjwa tu.
Tofauti ni aina ya kisu cha kuchinjia.
 
Back
Top Bottom