Hahahaaa. Naona unakataa kwenda na wababe wenu Mtani.
[emoji4]asanteHongereni [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
Yana mwisho ila. [emoji12]
Ni bora ndani ya TPL ila nje ya hapo iko dhohofu li hali. Ndio maana kule Egypt na Misri mkachezea KHAMSA KHAMSAHahaha, kwa hiyo siyo kwamba Simba ni bora sana msimu huu?
Karibu kesho tuko Lindi.
πππ
Namungo FC. FA hiyoo.
Umeshaanza. πππ
Karibu kesho tuko Lindi.
Kaka hii dua inaishia juu ya bati tu. ππKila la Shari kwa Yanga FC
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena umeme unakatwa kukiwa na mechi tuKweli kabisa Dada wajua tena huku pembezoni kila siku Umeme wanauchukua. [emoji85][emoji85][emoji85]
Hahahhaha kidogo tuHali ilikuwa mbaya eee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante Mwl KASHASHA. [emoji41][emoji41][emoji41]
πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena umeme unakatwa kukiwa na mechi tu
Umejua kunichekesha kwa Sauti Dada. Vp lakini uko poa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu uko
Ni bora ndani ya TPL ila nje ya hapo iko dhohofu li hali. Ndio maana kule Egypt na Misri mkachezea KHAMSA KHAMSA