100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Hahahaaa. Naona unakataa kwenda na wababe wenu Mtani.
Hao hawawezi kualikwa kule, ni level za Kimataifa zile. Halafu ujue Congo ndo nchi jirani yenye timu zinacheza ligi ya MABINGWA, ndiyo maana ni rahisi kumpokea BINGWA mwenzao.