Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Leo hii imekuwa ya Mbuzi Mtani. Nawaza tu mngekuwa bado mmo kwenye mashindano haya hii kauli ingekuwepo kweli?

Hivyo mwakani hamtashiriki eee?
Tunajitoaga mapema kwa sababu tunajua siyo level zetu hizo.

Kama tuna uhakika wa kuchukua ligi, kwa nini tuwabanie wadogo zetu kupambana FA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…