Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Mtani vpLeo hii imekuwa ya Mbuzi Mtani. Nawaza tu mngekuwa bado mmo kwenye mashindano haya hii kauli ingekuwepo kweli?
Hivyo mwakani hamtashiriki eee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani vpLeo hii imekuwa ya Mbuzi Mtani. Nawaza tu mngekuwa bado mmo kwenye mashindano haya hii kauli ingekuwepo kweli?
Hivyo mwakani hamtashiriki eee?
Izo jez za leo mbona hazieleweki maandishiLeo hii imekuwa ya Mbuzi Mtani. Nawaza tu mngekuwa bado mmo kwenye mashindano haya hii kauli ingekuwepo kweli?
Hivyo mwakani hamtashiriki eee?
Alhamdulillah uzima ninao. Niaje aisee?
Huzielewi vipi Mtani?
Tulimaliza Paketi moja TUNimechelewa kuona. Mliwapiga ngapi jana wauza ice cream wa Chamazi?
Usijali umepata.
Labda useme ubaya wake ni nini?
Dkk ya 15
Angalia Maandishi ya ajibu Na Maandish y makambo utaona tofautLabda useme ubaya wake ni nini?
Tunajitoaga mapema kwa sababu tunajua siyo level zetu hizo.Leo hii imekuwa ya Mbuzi Mtani. Nawaza tu mngekuwa bado mmo kwenye mashindano haya hii kauli ingekuwepo kweli?
Hivyo mwakani hamtashiriki eee?
Dkk ya 15
0 - 0
Duuuh!Tunajitoaga mapema kwa sababu tunajua siyo level zetu hizo.
Kama tuna uhakika wa kuchukua ligi, kwa nini tuwabanie wadogo zetu kupambana FA?
Nina kanafasi leo japo si sana.Leo naona upo kutoa updates kabisa Mtani.
Kila la kheri bana, mjitahidi na nyie mpande ndege kutuwakilisha kimataifa hata kama ni kombe la vibonde (shirikishi).
Nina kanafasi leo japo si sana.
Shukrani. Eti kombe la vibonde. Aisee.