brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toeni tamko,unatazama mpira lakini
Hivi unataka timu yako iwe kubwa unawauzia silaha namba moja mpinzani...yan barca wawauzie messi madrid??
Duuh! Sawa Mtani tusubiri 16:00hrs ifike tuone uyasemayo.
Yamekuwa hayo tena? Tulia dawa iwaingie
Kwani unateseka!
Labda ligi ya huko jangwani michango fc
Huyu si ndio alimuita MK14 ajuza, sahivi povu linamtoka kama lote.Yamekuwa hayo tena? Tulia dawa iwaingie