OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jamani mnaona vitu vya Kulibaliiiiii,anamwaga mimaji waaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaTunaongoza mbili dk ya 39 anko wangu wa pembeni
Huyu jamaa n fundiJamani mnaona vitu vya Kulibaliiiiii,anamwaga mimaji waaaaaa
Kafanyaje Mkuu
Kwamba Mungu ana mambo ya msingi ya kushughulikia haahaaUsimchoshe Mungu wewe
Huyu jamaa anisamehe tu mm jamaniJamani mnaona vitu vya Kulibaliiiiii,anamwaga mimaji waaaaaa
Yanga ndio mtiifu kwa mume wake azam hawana njaaAzam ni Tawi tiifu sana kwa Mikia zaidi ya tawi lao la mpira pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha awamininie tu
Harmonize sio mtu mzuri hata mm ani samehe pia mwanzoni nilifikiri tumesajili dancer wa mzikiHuyu jamaa anisamehe tu mm jamani