100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Kombe bado analo, kitakachofanyika ni kuendelea kubaki tu huko huko Msimbazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na vile anavyopenda mapicha kujiselfishaHarmonize sio mtu mzuri hata mm ani samehe pia mwanzoni nilifikiri tumesajili dancer wa mziki
Ni kuwanunua tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na kocha wao lia liaAzam nao kwahiyo wamenunuliwa na simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yanga vile walinunuliwa eeenh
Siku ya kufa miti nyani wote hutelezaKila la heri Azam Fc
Ni kuwanunua tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na kocha wao lia liaAzam nao kwahiyo wamenunuliwa na simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yanga vile walinunuliwa eeenh
Tupo wengi wa kusamehewa na hili jamaaHuyu jamaa anisamehe tu mm jamani
Unachangia mada gani kama sio uchawi wewe chura
Dah,Simba ya sasa haina ubora wowote but wapinzan ni dhaifu Sana!
ikiwemo michango fcDah,Simba ya sasa haina ubora wowote but wapinzan ni dhaifu Sana!
Hizi game ni fixed kabisa hata kichaa anaweza ng'amua hilo....
Haya mapambano ya timu za mabeberu kupambana na timu ya wananchi sidhani kama zitazaa matunda.
Sisi ni wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app