Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio Nimeangalia.Umeangalia msimamo lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Nimeangalia.Umeangalia msimamo lakini?
Hahahha nipo poa dada akee hofu kwako tuUmejua kunichekesha kwa Sauti Dada. Vp lakini uko poa?
Mie Alhamdulillah niko poa kabisa.Hahahha nipo poa dada akee hofu kwako tu
Asante dadaa akee na kwako piaMie Alhamdulillah niko poa kabisa.
Haya dada uwe na Mchana mwema.
Kaka hii dua inaishia juu ya bati tu. 😀😀
Dua la kuku hilo ShadeeyaHongereni 👏👏👏👏.
Yana mwisho ila. 😜
Nimechelewa kuona. Mliwapiga ngapi jana wauza ice cream wa Chamazi?
Utasubiri. 💃💃💃💃
Kila la heri NamungoUtasubiri. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hamna mtu wa kutufunga mapema pale.
Sawa likubali, iwe Azam 2 Simba 3Jana lile goli la Azam lilivyokataliwa.
Hili dua kama lile la King Ngwaba linaishia juu ya bati tu hapo. 😂😂😂
Hahahaa. Umeandika hivi kisa unajua haiwezekani.
Tukutane baada ya kipigoHili dua kama lile la King Ngwaba linaishia juu ya bati tu hapo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wangepewa uwanjani point hazipunguiHahahaa. Umeandika hivi kisa unajua haiwezekani.
Sawa
Sawa
Leo hii imekuwa ya Mbuzi Mtani. Nawaza tu mngekuwa bado mmo kwenye mashindano haya hii kauli ingekuwepo kweli?Mtani bora mjikite kwenye ligi hizo za mbuzi, huku kwingine ni maji marefu kwenu.