Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Mnata yupo chini, kipa wa Yanga.

Yanga wamekamia hii mechi ila wanaonekana kuanza kuchoka.
 
68' Meddie Kagere ametoka, na ameingia Dilunga upande wa Simba

Metacha anapiga goal kick, mpira upo katikati, wanazuia Simba kwake Dilunga faulo

Inapigwaaaaaa Kona, Chama anapigaa Wanaokoa Yanga sc
 
Yanga wanachezewa nusu uwanja hapa hii tabia itawaponza hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mkishnda Natoka JF
 
Faulo, Balama yupo chini na zaidi Yanga wamejikita nyuma wakiacha Nchimbi mbele na kushambulia kwa kushtukiza. Offside John Boko baada ya mpira kuanza.
 
Kona kuelekea Yanga, Chama anapiga Yanga wanaokoa, Kipa na Moro wapo chini
 
80' Anakwenda Chama anatokea Makapu anapigwa tobo, Wanautoa Yanga Konaaaa

Inapigwa Kona, lakini haikuzaa matunda, wakati huo, wachezaji wa Yanga wamelala chini..!
 
Back
Top Bottom