Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Kuna jamaa zangu job tulikua tunawacheka sana..sasa dah kweli kuimba kupokezana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa zangu job tulikua tunawacheka sana..sasa dah kweli kuimba kupokezana
Watonyooka tu hakuna namna.Nawapongeza Mashabiki wote wa Simba mlo hapa hadi sasa...
You are true fans.. Mmekubali kiroho saafiiii....
Ndo lilikuwa lengo lenu?Leo ni siku ya wanawake duniani. Ushindi wa yanga ni wa wanawake wote.
Bora simba tumefungwa ili tuwape furaha wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
True Fan. BIG UPSijui Nitaweka wapi sura Yangu Maraisi Wawili Uwanjani alafu tunachezea Eeeh Mola Nisaidie mimi
Bad Mood
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga Mkono.
Achelewi kutwiti
Waambie tu mmezidiwa mchezo mmegongwa kiufundiSimba fans be like....
Nitawaambia nini watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa yetu leo imebarikiwaLeo ni siku ya wanawake duniani. Ushindi wa yanga ni wa wanawake wote.
Bora simba tumefungwa ili tuwape furaha wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha daah