Wapi mzeee wa Power BankDah! Wachezaji wetu wangejua tunavyosakamwa huku mtaani!
Happy women's dayNaona unajitoa ufahamu Ses. π€£π€£π€£
Harusi Harusi imetimia. ππ
Wapi Konde Boy. π π π πDah! Wachezaji wetu wangejua tunavyosakamwa huku mtaani!
Wapi ChamaaDah! Wachezaji wetu wangejua tunavyosakamwa huku mtaani!
Hivi Mtani we umeshindwaje kuzitumia sa ili tuwe sawa. π€π€π€
Kubalini tu kwamba hamtuwezi na ndio sababu mapemaa Nyoni akajitokea zake. π π sababu mlilaumu sana kutokuwepo ile mechi ya kwanza.
Hebu tulia Shadeeya basiWapi Chamaa
BaelezeeSisi tunaamini kwenye kikosi imara na mazoezi.
Ila huu mchezo wa kurogana rogana siyo poa kabisa. Ndiyo maana mnaishia kucheza ligi za ndani.
Una roho ngumu wewe.Hahaha, hongera kwa kubahatisha
Baelezee
cc ShadeeyaKombe pekee ambalo Vyura wanaweza kushinda ndani ya miaka 8 ijayo ni kuifunga Simba SC.
Ila hawa Vyura wanadhiki sana mechi ya January 4 waliahidiwa magodoro wakakamia mechi wakapata sare.
Jana wameahidiwa MIL 6 kila mchezaji wamekamia mechi wameshinda. Nina imani siku wakiambiwa mukiifunga SIMBA SC mutalipwa mishahara yenu kila mechi hawa Vyura watatufunga zaidi ya goli 10.
Lau kama mungelikamia mechi za Mbeya City na Coastal Union kama mnavyoikamia Simba SC mungelikuwa munaongoza ligi.
Hongereni wanawake kwa Kupata furaha kwenye siku yenu.
Kabisa mkuuWataishia kucheza hizi game za ndani tu hawa. Uchawi hauvuki mipaka ya nchi.
Hongereni kwa kupata million 200 πππMtani hii kauli imetoka kwako kweli. π€π€π€
Bora angeanza Ajib.Kwani leo Luis Mosquitto alicheza?? Mmakonde alikutana na wakongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante. Ila wacheni imani potofu Mtani.Hongereni kwa kupata million 200 πππ