Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Kombe pekee ambalo Vyura wanaweza kushinda ndani ya miaka 8 ijayo ni kuifunga Simba SC.
Ila hawa Vyura wanadhiki sana mechi ya January 4 waliahidiwa magodoro wakakamia mechi wakapata sare.
Jana wameahidiwa MIL 6 kila mchezaji wamekamia mechi wameshinda. Nina imani siku wakiambiwa mukiifunga SIMBA SC mutalipwa mishahara yenu kila mechi hawa Vyura watatufunga zaidi ya goli 10.
Lau kama mungelikamia mechi za Mbeya City na Coastal Union kama mnavyoikamia Simba SC mungelikuwa munaongoza ligi.
Hongereni wanawake kwa Kupata furaha kwenye siku yenu.
tapatalk_1583684765802.jpeg
 
TUMEWAZAWADIA WAKE ZETU USHINDIII WAFURAHIE JMN
 
Swahiba hao Mikia domoni tu wanatufunga hata 10 ila njoo uhalisiani sasa.
Mikia hushinda kwa mbinu...ni mabingwa wa kuhonga marefa na wachezaji ...Sina hakika hili la kupuuliza 'pafyumu' vyumbani...ila Hilo la kuhonga marefa na wachezaji wa timu pinzani hayo Nina uhakika nayo kwa asilimia 100..mikia pia huwatumia wafanyakazi wa hoteli waliyofikia timu pinzani...ipo siku tulikuwa na timu kambini kwenye hotel moja kubwa nikaona mhudumu moja anajipitisha pitisha mezani kwetu Mara sijui anajifanya anasafisha Mara sijui anaondoa glass Mimi na mwenzangu mmoja tukamshitukia ...basi alipoondoka tukamfuatilia akaingia chooni tukamfuma anapeleka ujumbe kwa mikia...yaliyotokea Sina haja ya kusema hapa..ila game ile tulishinda...yaani mikia ni hatari kwa mbinu chafu..ni hatari kwa kweli...ukizubaa tu mmekwenda na maji...mikia hawezi hushinda bill kutumia mbinu chafu...lakini Jambo moja niweke wazi hapa ...Haina maana mbinu zote huratibiwa na uongozi wa mikia....la hasha...ni rogue elements ndani ya mikia wakati mwingine hufanya hizo mbinu chafu...Yale aliyosema kabwili kuhusu kuahidiwa gari binafsi naamini ni ukweli kwa ninavyowaelewa mikia...watu wabaya Sana Hawa mikia...
 
Back
Top Bottom