Kombe pekee ambalo Vyura wanaweza kushinda ndani ya miaka 8 ijayo ni kuifunga Simba SC.
Ila hawa Vyura wanadhiki sana mechi ya January 4 waliahidiwa magodoro wakakamia mechi wakapata sare.
Jana wameahidiwa MIL 6 kila mchezaji wamekamia mechi wameshinda. Nina imani siku wakiambiwa mukiifunga SIMBA SC mutalipwa mishahara yenu kila mechi hawa Vyura watatufunga zaidi ya goli 10.
Lau kama mungelikamia mechi za Mbeya City na Coastal Union kama mnavyoikamia Simba SC mungelikuwa munaongoza ligi.
Hongereni wanawake kwa Kupata furaha kwenye siku yenu.