Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Dada hivi umenionea wapi huyu ndugu yangu Shunie? [emoji28][emoji28]

Mana kwenye ule uzi wa Mshana kwamba tutafungwa goli 4 alikubali akasema ye ni nani mpaka abishe.
Bado anaugulia, kama naziona bia zilivyoteseka jumapili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jf ni kijisehemu tu chance ikipatikana ndio naibuka kama hivi.

Pole lakini ndio mpira. Na pia katika vichekesho nilivyovipata kwenye huu uzi na vya kwako vipo. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kweli asee, kwa sasa sina cha kusema ila sisi huwa tunakubali matokeo sio nyie mkifungwa tu malalamiko kibao.

πŸ˜‚πŸ˜‚ Et vichekesho.!!
 
Kweli asee, kwa sasa sina cha kusema ila sisi huwa tunakubali matokeo sio nyie mkifungwa tu malalamiko kibao.

πŸ˜‚πŸ˜‚ Et vichekesho.!!
Nyie wenyewe ni walalamikaji wazuri tu na kilichowanyamazisha ni vile sheria zilifuatwa bila kupindishwa.

Ndio muna vichekesho humo mi jana sikuupitia huu uzi nikaona. πŸ˜€πŸ˜€ Leo ndio nikaona hebu nipitie nione watu waliandika nini. πŸ˜…πŸ˜…
 
Aah sema ukweli bana ulikimbia asee mbna mimi kote nilikuwepo muache nidham ya wago banaπŸ˜…πŸ˜‚
Daah!! Hayo unayaweza wewe ila mi siwezi aisee yaani niache kuimba na kufuatilia ya Uwanjani nianze kuhangaika na Jf sa nakuwa nimefuata nini huko?

Ukiniona nahangaika na nyuzi za mpira wa live ujue sipo Uwanjani na pia mishe zangu hazijanibana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkishindaga tu basi hamuwezekanagi tena ushindi wenyewe uwege wa ndondokela kama huu mmh!!
Haya ngoja tusubiri FA panapo uhai
 
Ukishandinda tu hukosi hojawewe,

Mungu ajaalie tukutane tena FA tuone burudani ya soka safi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkishindaga tu basi hamuwezekanagi tena ushindi wenyewe uwege wa ndondokela kama huu mmh!!
Haya ngoja tusubiri FA panapo uhai
Hahahaaa. Ushindi wa hivi ndio mzuri mana lazima uumize kichwa ilikuwaje sijakam baki. πŸ˜…πŸ˜…

Tuombe uzima. Ila mukaze tu sababu mwisho wenu FA huwa unajulikana na kufika robo imetokea tu this time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…