Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Jf ni kijisehemu tu chance ikipatikana ndio naibuka kama hivi.Mmh sawa hongora kwenu, Ila siku ya mechi ulikimbia hapa.
Pole lakini ndio mpira. Na pia katika vichekesho nilivyovipata kwenye huu uzi na vya kwako vipo. ๐ ๐ ๐