Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Pole Mtani. Ndo soka hilo.

Japo nasikitika mukidai tumefanya ndumba. Hivi zingekuwepo si tungekuwa tunawakimbiza kule kileleni? Au ndumba tunazitumia kwa Simba tu?
Si ndio furaha yenu! Mkishaifunga Simba mnaona kama mmechukua World Cup vileπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Simba ipo kiubingwa ubingwa zaidi, hua hatupanii mechi moja tu, tuna kikosi cha kuchukua ubingwa wa TPL, FA na kushindana kimataifa, upo hapo Shadeeya ?
 
Kale kamsemo tunanunua vyuma chakavu na Yanga mbovu huko mtaani kwenu bado kapo?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Yap tuombe uzima. Na hiyo mechi mkija tena kibweg* bweg* lazima tuwakalishe. 😎😎😎
Jeuri hii mnapata wapi kama sio kutoka kwenye kamati yenu ya ufundi? Yaelekea ipo vizuri sana. Nikiangalia yale magoli aliyokua anaokoa Metacha Mnata hata sielewielewi vileπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Hizi kauli ni sehemu ya kujipa faraja tu Ses. Lakini ukweli utabakia pale pale kwamba Kikosi chenu ni bora mukikidadavua huku mitandaoni ila ndani ya Uwanja si kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…