Huwa napenda unavyoshabikia Yanga kwa moyo wakoHahahaaa!! Eti mwanamke dume. lol.
Ahsante Mkuu. 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa napenda unavyoshabikia Yanga kwa moyo wakoHahahaaa!! Eti mwanamke dume. lol.
Ahsante Mkuu. 🙏
Tumekua wapole tu...hakuna jinsi...😂Sikutaka kukukera Kaka yangu ila wacha tu leo nikukere.
Hahahaaa!!! Enhe uliiweka wapi sura? 🙈
Hata sikuachi. 😅😅😅
mchezo wenu wa kichawi,goli limejaa waganga 8 kila ikipigwa kiki wapiYupo nawaza sijui sura yake aliificha wapi jana. 😅
Jirani hivi ulisemaga we ni timu gani vile? [emoji41][emoji41]
Si ndio furaha yenu! Mkishaifunga Simba mnaona kama mmechukua World Cup vile😀😀😀Pole Mtani. Ndo soka hilo.
Japo nasikitika mukidai tumefanya ndumba. Hivi zingekuwepo si tungekuwa tunawakimbiza kule kileleni? Au ndumba tunazitumia kwa Simba tu?
Kale kamsemo tunanunua vyuma chakavu na Yanga mbovu huko mtaani kwenu bado kapo?Si ndio furaha yenu! Mkishaifunga Simba mnaona kama mmechukua World Cup vile😀😀😀
Simba ipo kiubingwa ubingwa zaidi, hua hatupanii mechi moja tu, tuna kikosi cha kuchukua ubingwa wa TPL, FA na kushindana kimataifa, upo hapo Shadeeya ?
Jeuri hii mnapata wapi kama sio kutoka kwenye kamati yenu ya ufundi? Yaelekea ipo vizuri sana. Nikiangalia yale magoli aliyokua anaokoa Metacha Mnata hata sielewielewi vile🙆♂️😅😅😅 Yap tuombe uzima. Na hiyo mechi mkija tena kibweg* bweg* lazima tuwakalishe. 😎😎😎
Hahahaaa. Hatari Swahiba.Huyu hapa kumbe 😂,OKW BOBAN SUNZU kumbe umeukubali muziki wa morrison
Ahsante Mkuu. 🙏🙏Huwa napenda unavyoshabikia Yanga kwa moyo wako
Na nyie muwatafutage sasa ili tusiwafunge siku ingine.mchezo wenu wa kichawi,goli limejaa waganga 8 kila ikipigwa kiki wapi
Na mimi pia ni Mman U wa ile ya Fargason pia. 😅
Hizi kauli ni sehemu ya kujipa faraja tu Ses. Lakini ukweli utabakia pale pale kwamba Kikosi chenu ni bora mukikidadavua huku mitandaoni ila ndani ya Uwanja si kitu.Si ndio furaha yenu! Mkishaifunga Simba mnaona kama mmechukua World Cup vile😀😀😀
Simba ipo kiubingwa ubingwa zaidi, hua hatupanii mechi moja tu, tuna kikosi cha kuchukua ubingwa wa TPL, FA na kushindana kimataifa, upo hapo Shadeeya ?
Hahahahaa!! Hakaezi kuwepo.Kale kamsemo tunanunua vyuma chakavu na Yanga mbovu huko mtaani kwenu bado kapo?
Hayo ni mambo ya Yanga hayoKwani nyie hamkuwa na Kamati ya Ufundi? 🤔
Oooh!! Basi vumilieni tu maumivu yakija kama hivi.Hayo ni mambo ya Yanga hayo
Hivi ubingwa hua hamuutakagi au mshazowea kucheza mabonanza? Maana kamati ya ufundi ingefanya mambo basi mbebe ndoo ya TPL kabisaOooh!! Basi vumilieni tu maumivu yakija kama hivi.
Mseme msemavyo mwisho wa siku ndio tumeshawafunga. Teh teh.Hivi ubingwa hua hamuutakagi au mshazowea kucheza mabonanza? Maana kamati ya ufundi ingefanya mambo basi mbebe ndoo ya TPL kabisa
Iko siku yenu tu mtakuja kukimbiaMseme msemavyo mwisho wa siku ndio tumeshawafunga. Teh teh.
Haifutiki hiyo. 🤣🤣
😅😅😅 hivyo ndio mtakuwa na nyie mmepata mganga wa kutuloga au?S
Iko siku yenu tu mtakuja kukimbia
Hapana sisi hatutaweka mganga ila mganga wa Yanga dawa zitakua zimeisha nguvu kwa hiyo soka la Simba litaonekana😍😍😍😅😅😅 hivyo ndio mtakuwa na nyie mmepata mganga wa kutuloga au?