OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kosi la mauaji,wanyama wakali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndio burudan za Simba na Yanga, raha sana hii
Natamani tu bet na wewe nyauu...Mnyama tafuna vyura vya kukaanga vyote
Hatari sanaView attachment 1380999
Kosi la mauaji,wanyama wakali
Kocha afanye sub ya Deo Kanda fasta akiona wenge,asiwe mzito
Numbisa upo timu gani?au upande wa Nyau...Updates please kila hatua wakuu
umekosea majina bana..... majina yanayojulikana huku vijiweni kwetu ni:Simba SC Nguvu moja 3 Yebo Yebo 1
Hakuna sare leo,Yanga anapigwa
Safii sana kumbe tupo pamoja...njoo ubust hata savanna kwa ajili mzuka,tushangilie pamoko!Yanga imara