Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
ππππHahaha
Yaaap ndo yeye
Tunashida mkuuGame ngumu sana hii, inanipa presha tu hapa!! Kila la heri mnyama simba!! MUNGU ATUTANGULIE
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa gani, kwani uongo au?Tutolee hapa siasa zako.
Sio siasa ni kweli yupo hapa uwanjani mkuuTutolee hapa siasa zako.
Game ngumu sana hii, inanipa presha tu hapa!! Kila la heri mnyama simba!! MUNGU ATUTANGULIE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah Jokes tu Mkuu utani tu Salama lakini KiongoziSiasa gani, kwani uongo au?
Huyu jamaa sijui vipi.Sio siasa ni kweli yupo hapa uwanjani mkuu
Salama kabisa.Hahahahahahahahah Jokes tu Mkuu utani tu Salama lakini Kiongozi