Naaaaaaam timu zinaingia Uwanja tayari kuanza mtanange huu wa VPL
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli yupo ndani ya Uwanja wa Taifa
Yes timu zipo uwanjani zinakaguliwa na kupiga picha za kumbukumbu tayari kuashiria kuanza mchezo
Naaaaaaam mpira umeanza safari ya dakika 90 kwa watani wa Jadi, Yanga Vs Simba
00' Yanga SC 0-0 Simba SC