Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

29' Luis Miquissone hatariiii, nafasi kwa Simba anapigaaaa Goo laaaaaaaaaa

Anaokoa Metcha, anapiga tena Chamaaaa anaokoa golikipa kwa mara nyingine, daaaah Metacha anafanya Saving ya hatari.
 
36' Kapombeeee anapasua angaa kwake Boccoooo Konaaaaaaa

Inapigwaaaaaa Kona, Offiside Luis Miquissone

Yanga SC 0-0 Simba SC
 
Tshishimbi anaonyeshwa kadi ya njano kwa mchezo mbaya upande wa Yanga
 
Kitu gani unakosa, acha ushamba

Mashambulizi ni makali kwa pande zote huku Simba wakiongoza kwa kukosa nafasi za wazi, na Yanga pia ambapo timu yoyote inaweza kupata matokeo ya ushindi
Huu uzi wa kingese kweli
Badala mlete update mnaleta utumbo
Hem kuweni serious wengine tuko mbali sana
 
44' Goooooooooooooooooooaaal Morrison

Yanga SC wanaandika bao kupitia kwa Bernard Morrison kwa shuti kali, ni mpira wa faulo ulipigwaa na kwenda moja kwa moja wavuni

Yanga SC 1-0 Simba SC
 
Back
Top Bottom