Umesoma hii Uhuru, Magufuli Grace Local Derbies On Super SundayBILA JANJA JANJA YANGA HAFUNGWI NA SIMBA In Nugaz Voice. 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma hii Uhuru, Magufuli Grace Local Derbies On Super SundayBILA JANJA JANJA YANGA HAFUNGWI NA SIMBA In Nugaz Voice. 😀
Mi sijambo Mtani. 😎😎Mnyama tafuna vyura vya kukaanga vyote
😓Si mbaya Mtani.
Mana kuna watu walishasema yaani kwa kikosi chetu basi sare ndio saizi yetu kwa Simba na ndio mana tulishangilia sare first round hivyo hatuezi wafunga.
CC. Ghazwat. 😅😅
Sikutaka kukukera Kaka yangu ila wacha tu leo nikukere.Dah..kesho sijui tutaweka wapi sura zetu makazini..
😂😂😂😂😂Bora hata tungefungwa na timu nyingine sio Yanga..
Hahahaaa. Mtani leo ndio nimepata chance ya kuupitia huu uzi.Dk 5 za nyongeza. Simba wanapanda wote na Yangavwamekaza nyuma. Hahahahhahaa
Naomba nicheke tu. 😅😅😅😅Sijui nitaficha wapi sura yangu!
Mi kuna mmoja jana kanikimbia. Yaani alijifanya anadharura atachelewa kidogo kisha anapiga simu kwa rafiki yangu kuuliza kama nipo. 🤣🤣🤣Kuna jamaa zangu job tulikua tunawacheka sana..sasa dah kweli kuimba kupokezana
😅😅😅😅Tambo kama zoote na bado utabiri wa mganga juu ila watu wamekalia. Yanga imara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa!! Eti mwanamke dume. lol.Hata mie namtafuta huyu mwanamke dume! Nampa hongera zake Shadeeya na Heaven on Earth wanawake wa shoka! Oh cariha na Mzigua90 na binti mrembo Shunie pamoja na rubii ni mashabiki wa yanga. Usichukie miss chagga mama lao
😳😳😳Yupo Ila bado haamini kama kamfunga mnyama mkali
Jirani hivi ulisemaga we ni timu gani vile? 😎😎
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumewapiga mbele ya Marais watatu Rais wa Nchi ya Tanzania , Rais wa Caf na Rais wa TFF.
Rekodi hii mtaisaka milele
Akiwemo OKW BOBAN SUNZU . 😎Leo mikia itakua wamepata cha kujifunza,wana dharau na kuongea mno hawa mafyetelo fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa ushindi, naona leo ndio umejua kuwa kweli umeshinda😂
Nifuatilie uone kama mi muoga muoga. Sinaga uoga hata chembe. Tangia mwanzo niliamini kwamba tunashinda.Hongera kwa ushindi, naona leo ndio umejua kuwa kweli umeshinda😂
Mmh sawa hongora kwenu, Ila siku ya mechi ulikimbia hapa.Nifuatilie uone kama mi muoga muoga. Sinaga uoga hata chembe.
Duuh!! Yaani niache kufurahia mpira Uwanjani nije jf. Lol.Mmh sawa hongora kwenu, Ila siku ya mechi ulikimbia hapa.