Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kupata kichekesho hiki bonyeza 08032020. 🤣🤣🤣Hapana sisi hatutaweka mganga ila mganga wa Yanga dawa zitakua zimeisha nguvu kwa hiyo soka la Simba litaonekana😍😍😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata kichekesho hiki bonyeza 08032020. 🤣🤣🤣Hapana sisi hatutaweka mganga ila mganga wa Yanga dawa zitakua zimeisha nguvu kwa hiyo soka la Simba litaonekana😍😍😍
Bado mpo pamoja?
Nitoke niende wapi?Mbona hujatoka?
Nimeipenda hii, Yaani walipigwa kimoja wakazaa mapacha name. Hatari sana.Simba kwa mdomo wameshindikana. Waliposaidiwa na yule mama wakapata droo, walisema ni sisi ndio tumeponyoka, tutakoma mechi ya Tarehe 8. Kabla ya Mechi, DC Jerry Muro (ambaye kikatiba ana ruksa ya kufungisha ndoa) alitangaza kuwa hiyo tarehe 8 tutavaa sare zetu kwa kuwa tunaoa...WAKABISHA!
Tarehe 8 ilipofika, JPM akatinga ukumbini na muongozo, KULIA KIUMENI, kushoto upande MWALI (refer jezi ya JPM). Kwa uwepo wake jukwaani, marefa wakaogopa kuchukua rushwa, kipute kikaputwa HAKI HAKI goma likaamsha mkole mwali akaolewa. Kimoja cha nguruwe, watoto 8 kazalia Singida anadai eti ana hasira....thubutuuuu!