Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kama ilivyo ada, leo tena timu ya wananchi YANGA SC itakuwa dimbani ikipambana na wana wa Mbeya, MBEYA CITY. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam saa 1 kamili usiku.
Mechi hiyo kali dhidi ya miamba hiyo miwili ya Shoka itaenda sambamba kabisa na sherehe ya kutimiza miaka 85 ya club kongwe Afrika, club pendwa ya wananchi, mabingwa wa kihistoria YANGA SC.
Matukio ya mechi yatakuwa live Update hapa na Mr Zero IQ, kiungo mchezeshaji wa kiwango cha SGR.
Stay tuned, stay updated!
Yapi maoni yako, upi uchambuzi wako kuelekea mechi kali hii ya leo?
Kipindi cha Kwanza kimemalizika:
Yanga SC 0 - 1 Mbeya City
Lamine Moro amejifunga dakika ya 42
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app