Uwanja wa Taifa, Dar | Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga SC 1 - 1 Mbeya City

Uwanja wa Taifa, Dar | Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga SC 1 - 1 Mbeya City

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama ilivyo ada, leo tena timu ya wananchi YANGA SC itakuwa dimbani ikipambana na wana wa Mbeya, MBEYA CITY. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam saa 1 kamili usiku.

Mechi hiyo kali dhidi ya miamba hiyo miwili ya Shoka itaenda sambamba kabisa na sherehe ya kutimiza miaka 85 ya club kongwe Afrika, club pendwa ya wananchi, mabingwa wa kihistoria YANGA SC.

Matukio ya mechi yatakuwa live Update hapa na Mr Zero IQ, kiungo mchezeshaji wa kiwango cha SGR.

Stay tuned, stay updated!

Yapi maoni yako, upi uchambuzi wako kuelekea mechi kali hii ya leo?


IMG_20200211_145613_947.jpeg

IMG_20200211_144727_794.JPG

Kipindi cha Kwanza kimemalizika:

Yanga SC 0 - 1 Mbeya City
Lamine Moro amejifunga dakika ya 42

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga kama kawaida leo tutammwagia maji mara 4 mbeya city kama msherekeaji wetu ktk siku ya kuzaliwa
 
Hawa wapanga ratiba hovyo kabisa. Bora wangeweka muda ule ule wa kucheza Yanga na 5imba. Hii ingesaidia kila mtu kushangilia timu yake kwa wakati mmoja na kuwaondolea furaha 5imba sisi Yanga tukishamchapa mtu.
 
Back
Top Bottom