Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara


We mpira hakika huujui
Huaingekuwa na misimu zaidi ya mitano bila VPL
 

Kumbuka Una misimu mitano hujabeba VPL
Je VPL kuna akina TP Mazembe????
 
Simba wanapata penalti na jumanne fadhili wa prisons anapewa kadi nyekundu
 
magoli ya okwi na bocco


OKWI 19 + BOCCO 14 = Magoli 33

habari mbaya hizi kwa Ndala FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…