Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Chachandu ya soka ni kutambiana mkuu, acha na updates ziwe zinakuja piaMsiharibu dhamira ya hii thread ni kuleta updates naona mnaanza kutambiana [emoji5]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chachandu ya soka ni kutambiana mkuu, acha na updates ziwe zinakuja piaMsiharibu dhamira ya hii thread ni kuleta updates naona mnaanza kutambiana [emoji5]
Aungurumapo Simba................, this is Simba bana... hua anasema mtangazaji wa BBC Lubunga Byaombe kutoka Kinshasa 'Kilabu La kabumbu la Simba kutoka huko Darisalama linacheza na Kilabu la kabumbu la TP Mazembe kutoka Lubumbashi, ile ndio size yetu sio hao wajelajela wa Mbeya au sijui jangwani
Kichuya kagongesha besela hapa [emoji2]
Aungurumapo Simba................, this is Simba bana... hua anasema mtangazaji wa BBC Lubunga Byaombe kutoka Kinshasa 'Kilabu La kabumbu la Simba kutoka huko Darisalama linacheza na Kilabu la kabumbu la TP Mazembe kutoka Lubumbashi, ile ndio size yetu sio hao wajelajela wa Mbeya au sijui jangwani
Chama langu Liver hua linakumbukwa kama mabingwa wa kihistoria ulaya ingawa miaka kibao sasa haijawahi kutwaa hata ndoo tu ya EPL, kilabu likiwa kubwa ni kubwa tu jombiWe mpira hakika huujui
Huaingekuwa na misimu zaidi ya mitano bila VPL
Okwi unaipatia simba goli la pili
simba 2 prisons 0
Duh! TayariMpaka mwisho Simba 2-Prison 0...