Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaaa. Waarabu ni noma.Mtani kwa kucheza huku unategema kushinda kweli ......
Leo kuna mvua ya magoli taifa [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa. Waarabu ni noma.Mtani kwa kucheza huku unategema kushinda kweli ......
Leo kuna mvua ya magoli taifa [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Tupo wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]M ni mwarabu kabisa haki ya nani tena hao ni ndugu zangu kabisa
Kumbe JF kuna waarabu wengi namna hii? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado sana hii timu kule kwao wakishinda viporo vyao viwili wanakwea mpaka nafasi ya pili nyuma ya al ahly kwa game hii kuna kupoteana airport baada ya mechi ya marudiano [emoji4] [emoji4] [emoji4]Umeonaeeee. Watanzania bado sana aisee
ndio tupo weng sana. Wengine wamesafr na tim kuja huko wengine tupo Misri tunafatilia kinachojirKumbe JF kuna waarabu wengi namna hii? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Umeonaeee. Wacha tuwe Waarabu sababu jana walitucheka sana aisee.Tupo wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kuweni na subira. Si unajua yavuta kheriNaona mambo yanaweza kuwa vice versa mkuu....
Hali ni tete kwa sasa [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Waarabu hawataki mazoea na timu za sub saharan country [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaaaaa. Waarabu ni noma.
Ila mtani safari yetu ndio inaishia hapa hakuna namna tenaHahahaaa. Umeonaeee. Wacha tuwe Waarabu sababu jana walitucheka sana aisee.
Yani hapa lazima tuwajambishe kweli kweli.Jana walikinukisha leo zamu yetu. Teh teh teh.
Hii nayo point ya kuandika hapa??Dakika ya 34 Simba wanapata faulo, Emanuel Okwi anaipiga inambabatiza kichwani mchezaji wa Al Masry na yuko chini
nakwambia sikulala jana...leo acha waipatepateHahahaaa. Umeonaeee. Wacha tuwe Waarabu sababu jana walitucheka sana aisee.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji119]Naona kuna waarabu weusi pale taifa wanashangilia kwa mbwembwe kweli [emoji23]
Aisee. Kumbe wako vyema eeee.Bado sana hii timu kule kwao wakishinda viporo vyao viwili wanakwea mpaka nafasi ya pili nyuma ya al ahly kwa game hii kuna kupoteana airport baada ya mechi ya marudiano [emoji4] [emoji4] [emoji4]