Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hawa jamaa kikopo cha maji ya kilimanjaro wamedownlodia juice ya embe uswahilini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bado sana hii timu kule kwao wakishinda viporo vyao viwili wanakwea mpaka nafasi ya pili nyuma ya al ahly kwa game hii kuna kupoteana airport baada ya mechi ya marudiano [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ewaaaaaaa. Haya ndio mambo sasa.Uzi haunogi bila picha
View attachment 706737
Hahahaaa. Yaani mpaka hapa hatuombani chumvi.nakwambia sikulala jana...leo acha waipatepate
Wazoee tu ndiyo asilimia kubwa ya mashabiki wa yanga walivyo[emoji16][emoji16][emoji16]Mhhhhhm mbwa tena? Ansante
Nafasi pekee aliyo nayo ya kushinda ni NJAA TU LABDAsimba bado ana nafasi ya kushinda
Eeeh mtani wako vizuri etiii.....Aisee. Kumbe wako vyema eeee.
Umeonaeeee.
Sio Yanga tu... Hata Simba wanakera saaaanaWazoee tu ndiyo asilimia kubwa ya mashabiki wa yanga walivyo[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna kupigwa sita kule kwao mkuu....Hahahaaaa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Eti kupoteana airport
Tatizo la mikia fc wanatumia historia kwenye haya mashindano. Timu zenyewe walizokuwa wanacheza Nazi zamani zimejifia zote.Jana walikinukisha leo zamu yetu. Teh teh teh.
Kabisaaa yaani.Eeeh mtani wako vizuri etiii.....
Hahaha hili dua shetani mwenyewe hawezi kulisikiliza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewe SHETANI mtawala wa anga la kuzimu, saidia simba a.k.a mikia fc ifungwe goli 6 - 1. Walidhania mashindano ya kimataifa ni mepesi kama ya miaka ya nyuma. Ewe Ibilisi wanyime kombe la ligi kuu thimba a.k.a wamatopeni fc. Mechi ya Leo ma marudiano kule misri ndiyo iwe mwisho wao wa kupanda ndege. Ameen !
Hahahaaa. Teh tehSio Yanga tu... Hata Simba wanakera saaaana
Hahaa.. Muda bado mzeeKuna kupigwa sita kule kwao mkuu....
Yale ya jangwani naona yanakuja kutupata na sisi....