Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Tupo pamoja wanaMsimbazi.
Mungu ni wetu sote mjue
 
Dakika ya 34 Simba wanapata faulo, Emanuel Okwi anaipiga inambabatiza kichwani mchezaji wa Al Masry na yuko chini
 
Waarabu sio kwa furaha hii mnayonipa duuh! Hahahahahahahahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…